Pages

Popular Posts

Thursday, July 12, 2012

Hadithi:Jaribio la Mwisho

 Hadithi hii ya kusisimua itawajia hivi karibuni kupitia blog hii ya wanyonge wa Moro aka Mji kasoro bahari..!Kaa mkao wa kula..!

Tuesday, February 14, 2012

Wa Ukaye mpooo..!?

Hellow watu wa Moro..,wenyewe tunaita wa Ukaye..,wa kule Matombo..,Mgeta..,Mazimbu..,Kihonda..,Gairo.,Kilosa..,Turiani...na kwingine..,Karibuniu kwenye uwanja huu wa Ukaye..,Morogoro Mji bwana Kasoro Bahari..!

Tuesday, March 8, 2011

Wadau Mpango mzima Loliondooo kwa Mchungaji....!

Wadau Niko safarini kuelekea Loliondo kwa Babu si unajua tene huko ndo uzima ulipo..!
Poa nikifika nitawajuza nini kinaendelea..!

Sunday, April 18, 2010

Welcome all......!!

Hellooo people....Welcome to this blog...Its ma hope that we will share different ideals and get latest news as the occurs in different part of the World....!!There4 Karibuni sana Wazeiya....1love......!!!Pamoja sana...!